Jf msaada tafadhali

Jf msaada tafadhali

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,624
Reaction score
871
wakuu heshima kwenu,
tafadhali naomba mnisaidie mambo yafuatayo, nataka kujiajiri katika kutengeza sabuni za kuogea, kufulia na za unga, zitokanazo na mmea wa jatropha, naomba mnisaidie

1, gharama ya mashine ya kukamua mafuta ya alizeti ni sh ngap? Je inauwezo wa kukamua kilo kiasi gani cha mbegu na kwa muda gani?? Kwani nimepata taarifa kuwa hata hiyo mashine ya kukamua alizeti naweza imodifai kidogo ikafaa kukamua mbegu za jatropha kutoa mafuta.

2. Napenda kujua tbs, na tfda wana analyse, kuhakiki bidhaa kama hii kwa tsh ngapi tafadhali anayejua anisaidie wadau ili nazo bidhaa zangu ziwe zimehakikiwa nao


3. Naomba anayejua anisaidie gharama za kudesign na kuprint mabox kama yale ya sabuni za rungu au deto inaweza kukost tsh ngapi kwa kibox kimoja?? Na kama unamjua mtu anayeweza nisaidia kwa maana ya vifungashio ni pm tafadhali


asanteni sana , kila lakheri kwenu
 
Mkuu Hongera kwa hilo,

Ila nilitaka kujua kama Mashine za Alzeti ndo hizo hizo zinazo tumika kukamulia Jatropha,

Ila kama ukoa Arusha Nenda Maeneo ya 88 kuna Kampuni fulani kule ina dili na haya mavitu ya Jatropha, ila mkuu upatikanaji wa Mbegu zake sio mchezo
Ukifika pale kuna kila kitu
1. Majiko special ya kutumia mafuta ya Jatropha

2. Sabuni

3. Majiko special ya kutumia mashudu ya Mbegu za Jatropha

4. Jinsi ya kufanya hayo mafuta yaendeshe engine ya Diseli
 
Mkuu chasha asante sana
mkuu hongera kwa hilo,

ila nilitaka kujua kama mashine za alzeti ndo hizo hizo zinazo tumika kukamulia jatropha,

asante mkuu, kunamtu aliniambia nikipata hiyo ya alizeti kuna modification kidogoi ntapaswa kuifanyia ili iweze kumachi na mbegu za jatropha


ila kama ukoa arusha nenda maeneo ya 88 kuna kampuni fulani kule ina dili na haya mavitu ya jatropha, ila mkuu upatikanaji wa mbegu zake sio mchezo
ukifika pale kuna kila kitu

hawa jamaa unaowasema walikuwa na ukaribu sana na diligent tanzania ni waduch fulani hivi,,nasikia chini ya kapeti wameshatembea, so hao wengine wanaitwa jani kama sijakosea.... Thanx ngoja niendeleee kulifanyia kazi, asante mkuu tuko pamoja, vipi kuhusu swala no 2 na 3 kama uko poa nisaidie kaka data kaka ili nione gharama zinakuwaje nizidi kujipanga, ujasiria mali unachangamoto nyingi, thanx sana mkuu, nakushukuru

1. Majiko special ya kutumia mafuta ya jatropha

2. Sabuni

3. Majiko special ya kutumia mashudu ya mbegu za jatropha

4. Jinsi ya kufanya hayo mafuta yaendeshe engine ya diseli
 
mkuu hongera kwa hilo,

ila nilitaka kujua kama mashine za alzeti ndo hizo hizo zinazo tumika kukamulia jatropha,

ila kama ukoa arusha nenda maeneo ya 88 kuna kampuni fulani kule ina dili na haya mavitu ya jatropha, ila mkuu upatikanaji wa mbegu zake sio mchezo

kuhusu mbegu nimeshajipanga mkuu, tayari nshaotesha miche kama kama 10,000 hivi katika eka 6 hivi morogoro hapo kwa kuanzia kwani zinachangamoto zake hasa upatikanaji


ukifika pale kuna kila kitu
1. Majiko special ya kutumia mafuta ya jatropha

2. Sabuni

3. Majiko special ya kutumia mashudu ya mbegu za jatropha

4. Jinsi ya kufanya hayo mafuta yaendeshe engine ya diseli

asante mkuu tupo pamoja
 
Back
Top Bottom