FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Utaweza Biashara wewe?
Fungua kituo cha ushauri nasaha wa Mapenzi mm nitakusaidia capital.
Ama kweli akili ni nywele..................Utaweza Biashara wewe?
Fungua kituo cha ushauri nasaha wa Mapenzi mm nitakusaidia capital.
Good day to you all.. i salute
nimewaza na kuwazua hili naona ili nifanikiwe peke yangu siwezi
Nimechoka sana habari za kuajiriwa kuamka asubuhi na mapema kutoka nimechelewa nimefanya hivi kwa muda sasa ktk sekta fulani
Nataka kuacha kazi ndani ya miezi 6 au Mwaka ili niweze kujikita katika swala zima la biashara
Nisaidieni ni biashara gani nifanye ili niweze kufanikiwa pia faida na hasara zake nipeni mbinu wapendwa
i am totally feed up
FL1
Ama kweli akili ni nywele..................
Sikuwahi kufikiria mtu anaweza kutoa ushauri wa namna hii
Hiyo red nimeipenda sana. Mi nakushauri uendelee na ufisadi wako kwenye purchasing. Biashara lazima itakushinda. By the way ile ya mama ntilie imekufa? Kama bado kaza buti mpaka ufungue hoteli.
Chrispin
tuache basi utani ..inawezekana una mawazo mazuri yi unaweza kunishauri
pls pls
thanks for ur advice Enny am working on itFanya biashara ya kilimo tafuta eneo la kufaa fanya biashara ya kilimo cha mboga mboga
Kama unahitaji nakushauri fungua duka la spare za pikipiki za Kichina unaona mahitaji ya vipuri vya tuktuk yanaongezeka kila kukicha hii biashara ukifungua utanipa miezi 6 wewe utakuwa mbaaaaaaaali kama hujanunu kiwanja k/koo basi umejenga kwenu Gorofa.
mmh huu ushauri thanks naufanyia uchunguzi kwanza
Nakushauri angalia uwezekani wa kujenga guest.....au.......