mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Ni miezi kadhaa tunachangia uwepo wa jukwaa hili kwa post na michango mbalimbali. ..umefika muda Mtulipe mshahara [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hasa makapuku waangaliwe sana hali zao sio nzuri
Hasa makapuku waangaliwe sana hali zao sio nzuri