RedDevil JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 2,367 Reaction score 1,523 Aug 26, 2010 #1 Jamani, nimekuwa nikitumia JF kujikumbusha nyimbo kadhaa za taarabu, Gospel, Bongo Flava nk. Lakini naona mmeitoa, kulikoni tena? Nauliza maana mwenzenu hapa JF nikama nyumbani vile. Nikiwa huku ughaibuni najipa raha mwenyewe kupitia JF.
Jamani, nimekuwa nikitumia JF kujikumbusha nyimbo kadhaa za taarabu, Gospel, Bongo Flava nk. Lakini naona mmeitoa, kulikoni tena? Nauliza maana mwenzenu hapa JF nikama nyumbani vile. Nikiwa huku ughaibuni najipa raha mwenyewe kupitia JF.
M Mfwatiliaji JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 1,323 Reaction score 67 Aug 27, 2010 #2 Invisible et al wanaelewa sana tunavyoboreka kwa kuikosa hii forum ya myuziki! Please, the crew, ASAP, do something in needy..
Invisible et al wanaelewa sana tunavyoboreka kwa kuikosa hii forum ya myuziki! Please, the crew, ASAP, do something in needy..
G gutierez JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 1,246 Reaction score 160 Aug 28, 2010 #3 http://www.youtube.com/watch?v=mUE9pxOKcGg