JF na wanakijiji wake huwachanganya walio wengi

JF na wanakijiji wake huwachanganya walio wengi

Mkuu ungewekamo basi kapicha kusupport maneno yako bhana, siunajua hata nyama bila mfupa ni mlenda tu?
 
Dah... mleta uzi ungetupia hata kavideo basi tufaudu kwa uzuri[emoji12]
 
picha natuma soon
a01cb39d5ac881078446bdfe7d30ea89.jpg
 
" a child is a parent of an adult" (psychodynamic) the past experience affects current behaviour.

acha na badilika:
.kuchangia mada ambayo hujaielewa,

.kuchukua maneno humu bila kutafiti uka apply

. kutukana kama comment hujaipenda(unaumia nini?)

. kitu kama hukipendi why ukitajetaje humu?(moyon unakitaka)

. uaichanganye mafile mada ya kitu kingine unaleta mambo tofauti na jukwaa lake lipo
Baelezee
 
Back
Top Bottom