We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 815
- 381
Je Kama wana JF, hatuwezi kutengeneza mpango mkakati ambao utahakikisha kuwa by 2015 at least 85% ya watanzania wote wawe wanaelewa haya yanayo semwa humu?
LABDA KWA KUANZA NA WEWE, ulikuwa unasuggest kifanyike nini!,
Maana isije ikawa ndo zilezile lugha za kibongo za "MPANGO ENDELEVU, MKAKATI, MCHAKATO, MPANGO-MKAKATI(kama wako) na vitu kibao vya aina hiyo, ambavyo mwisho wa siku havina productivity yoyote!
Lakini, kimsingi kuna taste fulani katika concept yako!
Kila kitu kina mipango yake na malengo yake mambo huanza taratibu hata redio tanzania toka ianzishwe miaka ya 60 hadi leo si sehemu zote inasikika, JF has done something imetuunganisha mimi na wewe, play your part mfano unaweza kuanzisha NGO au redio jamii ukaikaribisha JF, maana hata JF itanuke namna gani haiwezi kutegemea internet kuwafikia wanavijiji wote lazima iji modify ama iwe Radio/TV au NGO au iwe chama cha siasa ingawa sijui kama hayo ndiyo malengo ya JF.Tatizo kubwa nalo liona ni suala zima la mawasiliano kwa mamilioni ya watanzania walioko vijijini. J