Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Kwani Maxmello mwenyewe anasemaje?Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook
Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf
Narudia tena, JF ipo kwaajili ya wanadar es salaam hivyo hata mnaotoa matangazo ya biashara na mengine wanajf tupo Dsm
DUH! Mbona una AKILI FUPI SANA?Wakuu
Ukweli lazima usemwe, Jamii forum ipo kwaajili ya wanaDaslam, watu wa mikoani wako bize na facebook
Wamikoani wachache waliobahatika kusoma elimu ya vyuo vikuu na wale waliowahi kufika na kuishi dar kwa ndugu zao kidogo wanaitumia jf
Narudia tena, JF ipo kwaajili ya wanadar es salaam hivyo hata mnaotoa matangazo ya biashara na mengine wanajf tupo Dsm
Wanaume wa Dar wanajua[emoji41]Juma Jux na Juma Lokole wana nini?
Born here hereHongera sana kwa kuwepo Dar
Khan....Nipo Mkoani na natumia JF since 2012
OhoooKhan....