Katika maisha Nina amini biashara ambayo inaweza nikafanya wewe ukatoboa kuna mwingine hawezi tobos
👉Tuendelee na moyo huo huo wa wa upendo as wanajamii!
👉Usisite kutoa mawazo yako pale mwenzako anapokwama kifikra
👉Tusiegemee kwenye kulaumu tu pia tutoe na solution ama suluhisho kwa changamoto za wanajamii wenzetu
👉Kuchekana katika maanguko sio ishu Kila mtu kwenye maisha Ana siku za kuanguka na siku za kunyanyuka
👉Biashara zote zina risk kimsingi ni kumanage risk ziwe ndogo
Aidha kwa kuaccept risks, kuavoid risks , mitigate risks , Ata kushare pia risks
Swala kuona watu fulani wanaofanya biashara fulani ndio wenye IQ kubwa ni kuvunja watu mioyo "duniani tumeumbwa kutegemeana" na kamwe hatuwezi kulingana
Niwatakie mapambano mema wapambanaji wenzangu, msichoke wala msivunjike mioyo
Nawasilisha