nchi ya viwanda
Member
- Apr 3, 2017
- 88
- 18
Hey I thought you will be totally gone by now, it's my pleasure to see you are still here, fam.Kama una consultation fee mtafute Mshana jr.
Bila picha huu uzi ni uongo kipimo cha reli ile inayokuja ya standard sijui geji sijui jeki...yes Tanganyika jeki au Jecha...Jamani mm nikijana nipo dar nililla nikaamuka nywere zangu zimenyolewa dizaini kama duara hivi kidogo na niligundua zilikuwa zinawasha pale mpaka leo ni miez miwili nanyoa lakin zinaota kwenye hicho ki duara hazioti nifanye je?.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]nilimuka-nimenyolewa-nyere-kiduara-kidogo-na-hazijaota-mwezi-wa-pili-huu-vipi-kitaaramu
kweli ni punye tumia whitefieldUna punye/kishilingi nenda hospital upewe dawa. Hakuna uchawi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mura kiswahili kimekukimbia
Kweli ulikuwa umerara mura [emoji23] [emoji23]