kama wazazi wako hawataomba cheti chake cha kuzaliwa kama sehemu ya mahali, unayo nafasi ya kuwaa mbia kuwa amekuzidi umli ili walidhike, vinginevo una agenda ingine.Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya hat hiv nnavyosema. Mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini yeye anasoma sheria lazma wasome miaka 4 kabla ya school of Law
Wasisi wangu ni umri,, na tumepanga kuoana. Je wazazi watatuelewa kwa kigezo cha umri? Jamani nambieni
Si uwaulize hao wazazi kama watawaelewa au la! Unataka tukujibu kwa niaba ya wazazi, kwani una uhakika mawazo yao na ya wana JF yanafanana?Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya hat hiv nnavyosema. Mimi namaliza chuo mwaka huu, lakini yeye anasoma sheria lazma wasome miaka 4 kabla ya school of Law
Wasisi wangu ni umri,, na tumepanga kuoana. Je wazazi watatuelewa kwa kigezo cha umri? Jamani nambieni
Sasa tatizo liko wapi? Kanyaga mwendo, songa mbele, jipangeni sawa sawa... na kuendeleza uaminifu sio ukiingia kazini tena uanze kumsaliti mwenzio... wewe!!!!!Losambo nashukuru, sijamzidi umri tumepishana mwezi mmoja. Tulianza wote chuo lakin wao wanasoma miaka 4 mana wanasoma Law mim namaliza mwaka huu so ntamwacha chuo.
Wote tuko dini moja na tunasali sana na kama ni uaminifu huu ndio halisi, nami namtendea haki kwa kuwa mwaminifu so tunaaminiana sana.
Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha