JF Niokoeni: makalio ya wadada yanamkera mpenzi wangu

sasa kama mpenz wako hapendi kwa nini we unaendelea? Ushajua kuwa mumsup wako hataki, mi sioni cha kukushauri, sanasana labda nitakwambia uachane na huyo swtee wako ili uwe huru.
Dah! hapa sijakupata bado
 
Jizuie kaka. Tafuta cd ya inye ya kina majuto, Siku ukijisikia kubwiku hivyo vinyeo vya watu jifungie ndani uangalie cd.
thanx well noted lkn sijui kama atakubali niangalie akiwepo anyway nitajaribu.
 
Hiyo inaashiria kuwa una katabia ambacho mwenza wako hakipendi. Kamaumeshindwa kujenga mazingira akubaliane na hali yako, fanya kila juhudi uachane na tabia hiyo. After all, ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani, ni kama umezini naye!
Kwa hiyo kaka me nina dhambi zaidi ya 1000 maana nimewaangalia wengi. hizo juhudi ndo naziitaj kama zipi mkuu?
 
Gud technique am gona try it thanx dada.
 
Muache nyumbani we vipi muongozane kwani nyie kumbikumbi.
 
Kama mkeo hana sifa unazozitaka kwa nini ulimuoa?
 
Tatizo la wengi hili, watu wanazuga tu hapa. Pole kwa maswahibu ya kunusurika kugongwa na gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…