Tayari muda mrefu.Subscription kwa sasa
Utakuwepo?Walioandaa zilizopita washabwaga manyanga. Kazi kwenu sasa kizazi kipya jipangeni muandae,hamna ugumu wowote ni muda tu.
Nitakuwepo.Nawe si utakuja lakini?
Braza, ile njia ya vumbi ni kilometa nyingi sana aiseDecember Saadan national park ,si mbali toka Dar napapigia hesabu
Utamu wa wali ukoko bro acha kabisa sina mpango wa kuacha kugombania ukokoHivi ww ile tabia ya kugombania ukoko ushaacha
Huhuuu..pole ntakulipia madeni yako yote we timba tu[emoji23] [emoji23]nnavyodaiwa humu naweza nikafika nikasherehekewa kama keki ya besdei
Hahaha wewe hujapania?Rogie kapania kweli...
Asanteee sitokosa
seriously unaweza kulipia yote?Huhuuu..pole ntakulipia madeni yako yote we timba tu[emoji23] [emoji23]
Heee[emoji15] [emoji15] ....vingine beba msalaba wako mama![emoji125] [emoji125] [emoji125]seriously unaweza kulipia yote?
ujue madeni siyo pesa pekee!
SomehowHahaha wewe hujapania?
Nitakuepo kukulinda [emoji5] whiteNisipolewa ntakua kama fala.. ntakunywa kwa adabu
Nitaanzaje kukataa ukisema twende kipenzi. Hapa nipo natafuta kitengo cha kuchangisha pesa ya hii partyKipenzi tutaenda?
I am excitedSomehow