JF Reality Check-Novaya Gazeta

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Kila mara hupenda kufanya reality check kujua kama ninalofanya ni sahihi au si sahihi, kama ninayoyapanga yanatimilika au hayatimiliki.

Leo naomba nifanye reality check ya Jamii yetu JF, je kukuru kakara zetu zina impact gani? zinawafikia kina nani na ni vipi tunaweza kuwa na impact ya kweli na si kuishia kuwa ni gumzo kati yetu mithili ya nguvu ya soda?

Naomba msome hii nukuu hapa chini, kisha tujihoji kama jamii, ni kiasi gani tunafana na hili gazeti la Urusi?

Je kelele zetu huishia kwenye masikio kidogo na hatuna impact ya kuitetemesha Serikali na wale Siloviki wa Tanzania?



http://www.time.com/time/magazine/article/0,9171,1722285,00.html
 
Rev.

"Gazeti Jipya" hili la JF linafanya kazi na kusomeka vizuri.

One only has to reas Speaker Sitta's statement about Chenge to know that the speaker is certainly informed about specific proceedings at JF.

In these bigwigs statements one is clearly steered towards concluding that the content is informed by recent discussions and probes here.
 
Rev,
kwa kina ni nini lengo lako hapa? kwamba JF ni kama Novaya Gazzette au ni nini? naomba maelezo zaidi kama unayo.

asante.

YNIM,

I always challenge myself and sort self reflection or criticism. I am asking with all the work we do here, how significantly are we impacting Watanzania wote and not a few individuals?

Are we JF similar to Novaya Gazeta? how sucessful are we in fighting the Siloviki?
 
Kama amri kuwa wafanyakazi wa serikali wasisome tovuti ya JF ni kweli, basi impact ya JF ni kubwa sana.
 
Na katika hotuba yake Dr Slaa amenukuu 'taarifa za mtandao' kuhusu masuala la Sinclair, naamini by mtandao alikuwa akimaanisha JF
 
Na katika hotuba yake Dr Slaa amenukuu 'taarifa za mtandao' kuhusu masuala la Sinclair, naamini by mtandao alikuwa akimaanisha JF

Dr. Slaa na kina Zitto wako upande wetu. Kuna official wa Serikali ame refer to JF baada ya kamata kamata ya Said Mwema?
 
Kichuguu,
Safi sana tatizo la watu huwa hawasomi between the lines...sii kazi ndogo lakini tutafika tu tuendako.
 
Fast forward, ffw three months later, what impact has JF made to Tanzania?

Is JF Credibility and Popularity still strong? or it has no joined the likes of Dar Hotwire?

With absence of "muziki na santuri" or Ufisadi story can JF succeed to be a powerful force that will bring change in Tanzania?

Tumeishiwa hoja na kuziuza kwa nguvu zake na kuishia utumia nguvu kujenga hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…