JF Registration Bug

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Someone reported this bug to us, we do not expect to correct it 🙂

 
Mkuu heshima sana,
Hii bug imenifurahisha sana hasa ukizingatia kuwa watu wacheche sana husoma terms and reference sio tu kwenye software installation lakini pia kwenye issue zingine kama vile mikataba mfano Tanzania pale watu wanapokuja na sababu za "nilidanganywa"......ila huyo anaesema alidanganywa amesign na kukubali kila sharti ndani ya mkataba.

Haka ka utaratibu waki ka imbed kwenye software na services nyingi katasaidia kulazimisha watu wasome.
 
Hapo kweli umenicha hoi Bw. Asiyeonekana

Kwa staili hii wengi tutashindwa kuinstall manake hawa majamaa wa makampuni nao wamezidi kuandika mlolongo wa mambo kibao kwenye terms and conditions zao kiasi cha kutusababishia wasomaji/wateja uvivu wa kuyasoma.
 
Ni wachache hapa JF wakati wanajisajili walisoma Terms of Service kabla ya kuidhinisha kujisajili kwao, ndo maana wengine huenda nje ya mstari. Hii ilikuwa ni kuwakumbusha tuu
 


Kuna program fulani waliweka hiyo feature, haikuruhusu kuendelea na installation kama hujavuta scroll down hadi chini. Hiyo feature haikusaidia kitu maana sikusoma terms zao.



.
 
If it was intended to be like that, then it is not a bug. A bug by definition is something that creeps up unintendedly.
 
Kuna program fulani waliweka hiyo feature, haikuruhusu kuendelea na installation kama hujavuta scroll down hadi chini. Hiyo feature haikusaidia kitu maana sikusoma terms zao.
Hii ndiyo hali halisi... Na ukishai-install ukagundua inaruhusu trojans kuingia kwenye pc yako unaanza kulalamika kumbe labda wao walikwambia kutakuwa na matatizo ya namna hiyo!

LoL, ni tatizo la wengi... Almost wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…