Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
watanzania lazima tujenge spirit ya kujikomboa wenyewe sasakatika kila nyanja...... tukisubiri serikali na watawala itakula kwetu
So ina maana hiyo ndo namba yako tukitaka kukutumia details zetu tutumie namba hiyo ya landline hapo juu? Me sina option ya pm nahisi nilifungiwaWapendwa wana JF,Asalaam Aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana.Napenda kuwakumbusha wale ambao bado hawajaandikisha majina yao kwangu kwa ajili ya JF SACCOS wafanye hivyo sasa. Nitumie jina lako, namba yako ya simu na email address.Lets join hands together! Nawatakia siku njema.CD
So ina maana hiyo ndo namba yako tukitaka kukutumia details zetu tutumie namba hiyo ya landline hapo juu? Me sina option ya pm nahisi nilifungiwa
jf saccoss...? imeanza lini?...nia na madhumuni ya kuianzisha ni ipi/yepi? waanzilishi ni nani? nani anastahili/stahiki kujiunga na saccoss hiyo? je imeshasajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili wa makampuni na vikundi vya kujamii?...naweza kupata nakala ya kuanzishwa kwake "memorandum of understanding etc".... nadhani nimeuliza kama GREAT THINKER naomba nieleweshwe kabla sijachukua hatua za ziada kujiunga na saccoss hii
So ina maana hiyo ndo namba yako tukitaka kukutumia details zetu tutumie namba hiyo ya landline hapo juu? Me sina option ya pm nahisi nilifungiwa
Tunatuma Jina la kwenye JF au Jina la kwenye mafaili ya serekali?
jf saccoss...? imeanza lini?...nia na madhumuni ya kuianzisha ni ipi/yepi? waanzilishi ni nani? nani anastahili/stahiki kujiunga na saccoss hiyo? je imeshasajiliwa kwa mujibu wa sheria za usajili wa makampuni na vikundi vya kujamii?...naweza kupata nakala ya kuanzishwa kwake "memorandum of understanding etc".... nadhani nimeuliza kama GREAT THINKER naomba nieleweshwe kabla sijachukua hatua za ziada kujiunga na saccoss hii
Asante sana kwa maswali yako yenye lengo la kujenga JF Saccoss imara. Tuma email address yako, namba yako ya simu na jina lako halisi si hili JF. hapo ndiyo utaanza kupata kila hatua tuliyofikia.
Asante sana, karibu sana. CD