Huyu bwana hana haja ya kushift base yake kuja kuishi bongo kwani akija hapa environment haiwezi kumruhusu kuwa productive kama alivyo huko aliko. Akirudi bongo wanamtandao na serikali yao wataanza kumhusisha na siasa zao za chuki simply because ni kabila moja na mahasimu wao Mwakyembe na Mwandosya!! Unfortunately, hawa wana mtandao sio analytical and objective enough kujua kuwa sio kila mtu wa kabila la wanyakyusa ni victim wa Tribal baronism!!
Najua kwamba Mark Mwandosya na Godfrey Mwakikagile wamefahamiana kwa muda mrefu tangu walipokuwa vijana shuleni Dar es Salaam - Mwandosya alipokuwa Dar es Salaam Technical College na Mwakikagile alipokuwa Tambaza High School. Pia, and this is just a coincidence, umri wao ni sawa; tofauti kati yao ni miezi miwili tu, according to their biographies available on the Internet, with Mwakikagile, born in October 1949, being two months older than Mwandosya who was born in December 1949.
Na walikuwa wanawasiliana Mwandosya alipokuwa shuleni UK na Mwakikagile alipokuwa bado gazetini "Daily News" kabla ya kuondoka kwenda USA. Nawafahamu ndugu zao wachache Dar es Salaam.
Kwahiyo wamefahamiana kwa miaka mingi sana.
Sijui kuhusu Harrison Mwakyembe na Mwakikagile. Ninachojua, kutokana na watu wanaowafahamu hao wote watatu ni kwamba Godfrey Mwakikagile alisoma shule pamoja na Daimon Mwakyembe - former Director of the Tanzania Bureau of Standards (TBS) - Mpuguso Middle School, Rungwe District, in the early sixties. Daimon Mwakyembe is a little older than Mwakikagile and was three years ahead of Mwakikagile at Mpuguso. But they were together at Mpuguso and knew each other at that boarding school when both were just young boys like all the other students there in middle school.
And that's the only connection I know of between Godfrey Mwakikagile and somebody who is a Mwakyembe. Lakini sijui kama Daimon Mwakyembe ni ndugu ya Harrison Mwakyembe. Some say he is; others say he is not.
Lakini, whatever the case, siamini hata kidogo kwamba Mwakikagile akiwa Tanzania atamuunga mkono Mwandosya akigombea uraisi kwa sababu ni Mnyakyusa mwenzake au kwa sababu wanafahamiana. He's just not that type of person. In his book "Nyerere and Africa: End of an Era," Mwakikagile says it would have been good for the country if Dr. Salim Ahmed Salim became president of Tanzania and explains why he says so.
Dr. Salim ni Mnyakyusa kama Mwakikagile na ndiyo maana Mwakikagile alisema ingekuwa vizuri kwa taifa letu Salim angekuwa raisi wa Tanzania? Dr. Salim ni Mkristo kama Mwakikagile? Na anatoka bara kama Mwakikagile?
Msimamo wa Mwakikagile against tribalism and racism ni mkali sana kuliko ule wa watu wengi ninaowafahamu ambao pia wanapinga ukabila na ubaguzi wa rangi. Kwahiyo asingemuunga mkono Mwandosya kwa sababu ni Mnyakyusa mwenzake. Angemuunga mkono, kungekuwa na sababu nyingine, na sina hakika angefanya hivyo.
Sijasoma vitabu vyote alivyoandika lakini katika vitabu vyake nilivyovisoma kuhusu Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla, na ambamo ameandika mengi kuhusu ukabila na ubaguzi wa kila aina, pamoja na ufisadi katika nchi zetu, anaandika kama statesman who is above party politics or partisan and divisive politics. His commitment is to the country, not to any political party. He does not put party politics above national interest. To him, Tanzania as a country comes first, not CCM or CUF or Chadema or whatever other party there is. Just read his books to find that out.
Na ndiyo maana angekuwa Tanzania, ni kweli kuna watu serikalini na katika siasa ambao wangependa sana kumtumia kwa maslahi yao. But he is not the type to nuckle under. Kwahiyo, ni kweli some of them would probably have tried to make his life very difficult, making it impossible for him to be productive.
Na kuna wengine watafanya hivyo kwa sababu za ukabila.
Ndiyo maana nimesema tuwe a more open society, not only in terms of freedom of expression but also in terms of using all talents, of all of our people, for the advancement of our nation.
People like Mwakikagile who live outside Tanzania would have been perfect for brainstorming sessions with our leaders at home - exchanging ideas even if in a heated way - in order to come up with the best solutions to our nation's problems.
Brainstorming sessions involve not just sitting down with people who agree with you or only with those who are members of your political party or of a particular constituency; it involves everybody including people who differ with you on almost everything. Even some of the things your fiercest opponents say to you if you are a national leader is part of the national dialogue. And their views, proposals and solutions must be taken into account to come up with the best solutions.
But that is not the case in most African countries. Ndiyo maana tumepoteza watu wengi. And we continue to lose them every year, with most of those who leave ending up in Europe and North America.
Akiwa Tanzania, Mwakikagile atalitumikia taifa lake, lakini hatakuwa mtumishi wa wana siasa to protect and promote their own interests. And he has very little confidence in politicians. Just look at his book "Africa is in A Mess" and how it has been praised by fellow Africans from all over the continent - except the leaders, of course!
Others say the same thing about him; for example, Professor Claude Welch at the State University of New York, Buffalo, who reviewed one of Mwakikagile's books said Mwakikagile has no mercy in his condemnation of corrupt and despotic Africa leaders. He condemns them ruthlessly - without any mercy at all on them.
And he didn't just start to feel that way.
Anyone who was in our class at Tambaza High School remembers how critical he was of politicians. Young as he was, he was very perceptive na ninakumbuka sana headmaster wetu marehemu Bori Lilla who conducted civics classes quite often asked Mwakikagile to comment on a variety of subjects of national importance and had lively exchanges with him. He was only 18 or 19 years old then. And many of us were not surprised when he started in June 1969 working as a junior reporter at the "Standard" - later renamed "Daily News" - when he was still in school with us at Tambaza. Alipewa kazi wakati wa likizo.
Mwakikagile had great respect and admiration for Nyerere as a committed and selfless leader regardless of whatever mistakes Mwalimu made but made it clear that almost all the people around Nyerere were hypocrites and were just paying lip service and were not as committed as Nyerere was to the nation's well-being. I remember our headmaster Lilla used to smile a lot whenever Mwakikagile made that comment. And almost 40 years later, he has not changed.
So, he would be a thorn in the side of politicians.
It's also very much possible kuna political heavyweights ambao ni Wanyakyusa who would be tempted to use him if he was in Tanzania. Lakini hawatafanikiwa. Kama nilivyosema mapema, Mwakikagile is known to be a strong anti-tribalist tangu alipokuwa kijana na sisi pale Tambaza High School na bila shaka kabla ya hapo. He was friendly with everybody. Alikuwa ni rafiki ya wanafunzi wenzake wote pale shuleni. And two of his closest friends were not fellow Nyakyusas like him, or fellow Christians like him. One of his two closest friends was a Nyamwezi from Tabora. And he was a Muslim. The other one was a Zaramo from Dar es Salaam. He was also a Muslim.
He does not choose friends on the basis of race, tribe or religion. I also remember one Arab student who was very close to him.
Hana ubaguzi, hana upendeleo, and he's not arrogant but very humble. If Mwalimu was alive today and knew Mwakikagile as a grown up, he would say these are the kind of people our country and our continent needs to set a good example for others to follow.
And there are many Tanzanians like Mwakikagile from all parts of Tanzania and from all tribes and races. But I can guarantee you one thing: There are very few of them, if any at all, in positions of leadership. Many of them live abroad because they are too outspoken and refuse to compromise on matters of principle. And those who live at home have been pushed aside or are simply ignored by those in power.
For that reason, yes, nakubaliana na wewe kwamba wanaoishi nchi za nje are more productive where they are than they would be at home in Tanzania or anywhere else in Africa.