JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

Topic nzuri sana na imenifungua macho kuhusiana na wanataaluma wengi wa kitanzania.
 
Topic nzuri sana na imenifungua macho kuhusiana na wanataaluma wengi wa kitanzania.
Tanzania kuna hazina kubwa sana ya watu na pia huwa nashikwa na ganzi katika kujua ni kwanini taifa bado lipo hapa lilipo maana wanatoa michango mkubwa sana ila hakuna wa kuthamini ila ni siasa tu
 
...Naomba kama kuna mtu anajua kuwa alipo huyu jamaa aseme yupo wapi na anafanya nini huko? anajihusisha na nini huko??

Mkuu, ungejibu swali hili kama lilivyoulizwa na Josh Michael halafu ndipo uongeze hayo maelezoo yako ingependeza zaidi....

Ni siku nyingi sana zimepita tangu niandike na sikujua kama uliikosoa post yangu hiyo. Hata hivyo ungesoma kwa makini kabla ya kukosoa ungejua kuwa nilisema kuwa mtu aliyekuwa akiongelewa hataki publicity. Ni ustaarabu kuacha kupublicize habari za mtu asiyekuwa na hatia yoyote iwapo yeye mwenyewe hataki publicity hiyo. Angekuwa na hatia fulani anatafutwa na serikali ndipo tungeweza kutaja personal information zake hata kama yeye mwenyewe hataki.
 
Nimejifunza kitu kipya kuhusu huyu mtu. Nitamtafuta vitabu vyake nisome na mimi
 
nimesoma kitabu chake Africain a mess. hakichoshi. jaribu kuanza nacho.
The coming weekend natarajia hiyo ndiyo iwe kazi yangu. Kutafuta hivyo vitabu. I love books ikilazimu kuagiza kwa publishers nitafanya hivyo
 
The coming weekend natarajia hiyo ndiyo iwe kazi yangu. Kutafuta hivyo vitabu. I love books ikilazimu kuagiza kwa publishers nitafanya hivyo
kama nakumbuka vizuri amekiweka free mtandaoni. hata humu JF kilishawekwa. ngoja nikiweke.
 

Attachments

Nimepitia huu uzi hakika nimefurahishwa na watu hawa walivotoa michango yao humu,..hakika Tanzania ina watu potential
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…