- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
You must be kidding.Thanx for the info.Im among the victims,so pls whitelist my IP.
No mkuu,sitanii.Tangu alfajiri(EAT) nilikuwa najaribu kulogin ila nikawa napata error msg kuwa server is not available.Ni muda mfupi tu uliopita(saa 8 kasoro) ndo nimeweza kulogin successfully.Au sie ambao after sometime tumeweza kuaccess then IP zetu hazina tatizo?You must be kidding.
You can post as I can see MwakyJ. Those affected cannot access JF as I know.
Any errors?
Hilo tatizo limewakumba wote. Mbaya mimi sikuwa najua, ni FairPlayer alonishtua kuwa JF iko down. Ni tatizo la kawaida ambalo linatokana na settings za Firewall ya JF. Tatizo hilo limetatuliwa ila wasiwasi wetu ni kuwa kuna ambao wanaweza kukumbana na matatizo. Ukiona unaweza kusoma JF elewa upande wako hakuna matatizo kabisa.No mkuu,sitanii.Tangu alfajiri(EAT) nilikuwa najaribu kulogin ila nikawa napata error msg kuwa server is not available.Ni muda mfupi tu uliopita(saa 8 kasoro) ndo nimeweza kulogin successfully.Au sie ambao after sometime tumeweza kuaccess then IP zetu hazina tatizo?
Hilo tatizo limewakumba wote. Mbaya mimi sikuwa najua, ni FairPlayer alonishtua kuwa JF iko down. Ni tatizo la kawaida ambalo linatokana na settings za Firewall ya JF. Tatizo hilo limetatuliwa ila wasiwasi wetu ni kuwa kuna ambao wanaweza kukumbana na matatizo. Ukiona unaweza kusoma JF elewa upande wako hakuna matatizo kabisa.
Karibu MwakyJ
Kwa sasa mambo mazuri ila awali nilichokipata mwanzo ni hiki:
ERROR
The requested URL could not be retrieved
While trying to retrieve the URL: https://www.jamiiforums.com/
The following error was encountered:
* Read Error
The system returned:
(104) Connection reset by peer
An error condition occurred while reading data from the network. Please retry your request.
Your cache administrator is root.
Generated Fri, 23 Jan 2009 09:38:08 GMT by haraka (squid/2.5.STABLE14)
...
You can post as I can see MwakyJ. Those affected cannot access JF as I know.
...
...
Yeyote aliyekumbana na dhahma hii atufahamishe ili tuweze kui-white list IP address yake.
....
Mkuu Max hayo madhara yamenikuta mpaka sasa siwezi kuingia tena mkuu!
Mkuu, unanishangaza! Sasa umewezaje kupost hii?????
- Mkuu Mpitanjia vipi tena kaka, yaani huwezi fikiria kua ninatumia mtandao usiokuwa wangu? Duh! umenishitusha sana mkuu! Ni kwamba kwa siku kama mbili sasa nimeshidnwa kuingia kutoka kwenye Computer yangu ya nyumbani, hapo juu nilikuwa ninadandia mtandao wa watu, lakini sasa niko tena kwenye bomba la nyumbani, vipi bado au?