Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Habari za mida wadau wa JF Chit-chat.
Hivi wadau mshawahi pata time kupitia signature za wadau mbali mbali hapa jf? Binafsi leo nilibahatika kulog in jf kwa kutumia computer nikapata wasaa wa kuziona baadhi.
Kwa kweli nimecheka sana leo kusoma signatures za wadau humu ndani. Zipo zinazochekesha, zipo zinafundisha zipo zinazofikirisha, yapo maandiko matakatifu (biblia na kuran) nk. Hapa nimekuwekea signatures kadhaa ambazo zili-caught my attention mchana wa leo na ku-made my day
1. "Siku kiranga akianzisha Dini, basi mimi nitakua Muumini namba moja"
by Gang Chomba
2. "MATAKO YA SUFURIA HAYAOGOPI MOTO" by ESCORT 1
3. "Light travels faster than sound. That's why some people appear bright until you hear them speak"
by Xplorer
Hizo ni baadhi tu kati ya nyingi nilizokutazana nazo. Hebu na wewe andika signature ambayo inakufurahisha humu jf na mwenyewe.