Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
Wenzetu wanawaza mbali sana, bado wanaumiza vichwa namna ya kuwarudisha hao watu kwenye maisha[emoji419]Today, there are about 300 bodies frozen in liquid nitrogen in America in the hope that science will one day be able to bring them back to life.
.sisi ata research kuhus kifo tu atujawai jarbu kufanyaWenzetu wanawaza mbali sana, badp wanaumiza vichwa namna ya kuwarudisha hao watu kwenye maisha
Ila watakuwa outdated sana. Just piga picha mtu aliyekufa 70s huko akifufuka leo itabidi wa-update ubongo wake kwenye mengi.( Microchipped brain)Wenzetu wanawaza mbali sana, badp wanaumiza vichwa namna ya kuwarudisha hao watu kwenye maisha