Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Na STDs unamuachia naniNdio maana wajanja wote wanagonga malaya tuu
And i think they did that on purpose, seems they wanted to supress the peoples views or opinion on social mediaKwa hili wametukamata kwakweli
Amemaliza vizuri... "there's no condom for that"... mapenzi yanauma jamani msiwaseme vibaya wanaojinyonga.For sure, emotional risks can torture you foe the rest of your life
Sometimes huo muda unaosema unataka utulie sasa ndio unapigwa pigo za ajabu, mpaka moyo unatamani kupasukaHahaha i think it is'nt the solution too, kuna wakati binaadamu anahitaji kuwa na settled life, utagonga hao lakini itafika mahali utatamani uwe na maisha ya utulivu na commited relationship
Kwa bahati mbaya, they won't achieve that.And i think they did that on purpose, seems they wanted to supress the peoples views or opinion on social media
I concurHahaha i think it is'nt the solution too, kuna wakati binaadamu anahitaji kuwa na settled life, utagonga hao lakini itafika mahali utatamani uwe na maisha ya utulivu na commited relationship
Chances za kupata stds toka kwa gelofrend ni kubwa kuliko kutoka kwa malaya.Na STDs unamuachia nani
Uko sahihi kwa kiasi fulani lakini pia kwa malaya risk ni kubwa pia especially kama hutakuwa makiniChances za kupata stds toka kwa gelofrend ni kubwa kuliko kutoka kwa malaya.
Huo ndio ukweli wenyewe kabisa...na hili ndio linatakiwa kuwa lesson number one to those intending to enter marriageThe moment poverty walks in through the door, love and peace toss themselves out of the window.
Hili sikubaliana nalo...hizi ni tantalila za motivational speakers tuu.Whatever you are today is the result of your past actions. Every decision matters. You are responsible for your life and have the complete authority to make it or break it.
Yah ni kweli kabisa,na wanawake huwa ndio wanaanzisha mchezo woteHuo ndio ukweli wenyewe kabisa...na hili ndio linatakiwa kuwa lesson number one to those intending to enter marriage
🤔 hili nalo somoIf you write a person "I Love You" and they reply you back with an emoji (No matter what that emoji is) they don't love you back.
Inategemea na ntu na ntuYah ni kweli kabisa,na wanawake huwa ndio wanaanzisha mchezo wote
Mimi nakubaliana nayo kwa asilimia miaHili sikubaliana nalo...hizi ni tantalila za motivational speakers tuu.
Whoever u are today is 98% attributed to which family u were born in and not wat u do.
Unasemaje kuhusu hilo,any comments?[emoji848] hili nalo somo
Vitabu vya dini vinesema tunarithi kutoka vizazi na vizari, hata kama hujafanya wewe, migh be the results of where you are coming from, either family or generationHili sikubaliana nalo...hizi ni tantalila za motivational speakers tuu.
Whoever u are today is 98% attributed to which family u were born in and not wat u do.
Most of the time ni nyieInategemea na ntu na ntu