JF special thread kwaajili ya Facts

Unasemaje kuhusu hilo,any comments?
Sio kweli, wakati mwingine mtu anaweza kukwambia i love you, halafu unaona aibu kumjibu in words au una muadmire ila its to early to accept the proposal, u ajikuta tu unajibu emoj ya asante
 
Most of the time ni nyie
Possibly yes, lakini wanawake wengi kwenye ndoa ni wavumilivu wa hali zote, ukishakula kiapo cha ndoa you have to bear with it no matter what, sema kuna wachache ambao wameingia kwenye ndoa foe their reasons or material things, ila kama umeingia kwenye ndoa kwa upendo then life is so easy to go along with
 
Sio kweli, wakati mwingine mtu anaweza kukwambia i love you, halafu unaona aibu kumjibu in words au una muadmire ila its to early to accept the proposal, u ajikuta tu unajibu emoj ya asante
Labda kwa namna hiyo nakubaliana na wewe, lakini kwa mfano mtu uko naye kwenye relationship akafanya hivyo huwezi kusema anaona aibu
 
Yah kweli kabisa
 
Females take a longer time to make a decision than males do, but once they’ve made a decision, they are more likely to stick to it.
 
Studies shows that women fake orgasm more frequently than men to avoid hurting their partners.
 
Studies shows that women fake orgasm more frequently than men to avoid hurting their partners.
And this is because men are so selfish, they only care about themselves when making love, a real man will make sure kwamba amemsatsify partiner wake kwanza
 
And this is because men are so selfish, they only care about themselves when making love, a real man will make sure kwamba amemsatsify partiner wake kwanza
Ila wanawake mna mambo nyie,sa si bora useme ukweli mtu aelewe kwamba yaliyomo hayamo[emoji23]
 
Kweli kabisa
Ukimsifia mwanamke mwingine either a friend or collegue it hurts kwa sababu it feels like they are your competitors, lakini your mother or sisters or any blood relative they are not competitors, they are family, and same applies to men
 
Mwanamke umuambie mamangu anajua kupika,anajua kusafisha nyumba n.k,lazima atamchukia ataona kama unasema yeye hawezi.
 
Because the heart has its own electrical impulse, it can continue to beat even when separated from the body, as long as it has an adequate supply of oxygen
 
A woman’s heart typically beats faster than a man’s. The heart of an average man beats approximately 70 times a minute, whereas the average woman has a heart rate of 78 beats per minute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…