JF sports news Section

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
JF mods Invisible et al. Kindly see it fit to subdivide the kenyan news section further to sports sub section. There to many threads being created that do not relate to current affairs ,business or politics here. Any proffesional Media outlet never combines news with sports news, they are normally subdivided even in print media where sports mainly goes to the back page.
There are many sports fans and fans of kenyan sports teams however when these are lumped together, the quality of the News and Politics section degrades.
You can also create a section for Tz Sports news as there are also many who get distracted by these in the middle of Current affairs news.
Thank you
 
Sports segment ipo ila nazani upande huu wa Kenyan news ingewekwa kwa ajili ya wakenya kujadili ma rugby na michezo kama hiyo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa NINI tusiwafuate wakati NYIE ni jamaa zetu. Teh teh teh tihiii
wengi wa wabongolala humu Kenya section wanatia kero tu...wapowapo tu kujaza nafasi. kuna wale ninaowaheshimu na hawawezi kupita zaidi ya tano.
 
wengi wa wabongolala humu Kenya section wanatia kero tu...wapowapo tu kujaza nafasi. kuna wale ninaowaheshimu na hawawezi kupita zaidi ya tano.

Ahaaa haaa haaa
Jamaa angu mbona unazingua!!?
 
good idea.. for the first time you are making sense...we need a sports section where we will discuss rugby, athletics, marathon and soccer updates...pia, ukizungumzia athletics au rugby, watz wanabaki wameduwaa hivyo inabidi wanaoendesha operations za JF wajaribu kuvutia wahabeshi na waafrika kusini walio bora katika mambo ya michezo tusiwe ni kana kwamba tunapigia mbuzi guitar...
 
Kenyan news section imegeuza kuwa utoto wa tz news hadi imeanza kubore, unapata one out 6threads ndio kenyan news the rest ni news za kijinga ooh sijui travelator ,blabla a380 siju meli kubwa bla bla.......the only solution ni kutocomment thread za kijinga tunawaacha wajibazane kama ule wa qantas,inawauma sana tusipojibu izi nyuzi zao.
 
hahahaha true
 
Ha ha haaa! Eti kutocomment! Wakenya mda mwingine mnachekesha sana! Haya mambo ya kuzila kuchangia mijadala ya tz niliyaona hata Ktalk, nikaona mkipeana za uso wenyewe kwa wenyewe. Utakuwa ni wewe ulianzisha ule uzi nadhani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


BTW, haya mambo ya tz news kwenye Kenyan section mnayaendekeza wenyewe, maana nyie ndo wa kwanza kupost mambo ya tz hapa, sijawahi kuona mkenya akipost kitu kwenye majukwaa mengine.

Kwanza huu uzi wenyewe ulitakiwa ifunguliwe hapa Complaints, Congrats, Advice maana ni ushauri kwa viongozi wa jf.

Sasa sijui kama ungewekwa huko kuna mkenya hata mmoja angeuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…