Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Naam
Tumesikia kuhusu bongo star search, shilawadu star search na nyingine nyingi ila hatukuwahi kusikia JF Star Search.
Leo tuanze kutafuta star wa JF
Ipo hivi, wewe utaandika chochote ambacho kitakua kinafurahisha/burudisha au kuchekesha. Unaweza kuandika shahiri, unaweza kuandika kichekesho, unaweza kutuma picha yenye ujumbe au meme yoyote yenye kufurahisha au kuburudisha.
Yule ambaye atapata likes nyingi kwenye kile ambacho amekipost, ndiye ataibuka mshindi.
Tuzipe likes uzito, tusitoe likes kwa post kama emoj, au maelezo yasiyo na msingi. Pia tusitoe likes kwa kuangalia umaarufu wa mtu hapa JF, tutoe likes kulingana na uzito wa alichopost.
Hiyo itasaidia star wa JF kupatikana kwa haki.
Mshindi, kama ni wa kiume, zawadi yake itakua ni atajichagulia mrembo yeyote mzuuri wa hapa JF nami nitamuunganisha nae kwa ajili ya kupata tunuku.... Vivyo hivyo akitokea Mshindi wa kike, basi atajichagulia HB yeyote ampendaye hapa JF nami nitawaconnect wakafanye yao.
Mimi ndiye Judge wa JFSS
Karibu..