Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #21
Nitakuazima kwa muda ila uirudishe ikiwa haijaharibikaNikihitaji nitakucheck Nina shida nayo sana mkuu. [emoji16]
Kama wewe unapenda Mapenzi na starehe gonga like hapa na mm nitakupa like yangu kizur kula na mwenzio
Kwani ukuu wa wilaya Kisarawe ni shilingi ngapi?Kwani sh ngapi?
Hahahah uwiii sema katika list yako kabla hujapiga mieleka na mm ukawa umebuma cheiiiiiMimi napenda kupigana mieleka na wachuchu.
Kwa sasa hivi ambavyo mambo yanavyoenda inatakiwa hata comment zako ziwe tofauti yaan mods wafanye mpango post zako ziwe tofauti na makapuku ,likes mi najua nitapata tuNasikitika kwa vile sina likes za kuchezea...[emoji16] ...like zangu nataka ziwe adimu kama like ya Mwigulu nchemba au brother Max Mello.
Mkuu Avatar mpya inachukua muda sana kuizoeyaThe most JF Talented man is Mshana Jr. Anayebisha aseme.
Mult talented Mshana JrThe most JF Talented man is Mshana Jr. Anayebisha aseme.
Khaaa jamani
Watu wenye like ya max tupo wachache sana. Mimi niliibahatisha majuzi.Nasikitika kwa vile sina likes za kuchezea...[emoji16] ...like zangu nataka ziwe adimu kama like ya Mwigulu nchemba au brother Max Mello.
Mimi ninayo mojaWatu wenye like ya max tupo wachache sana. Mimi niliibahatisha majuzi.