JF Stats

Hongera Rev Masanilo!!

Mi nafikiri top 10 thanked ina accommodate element ya quality of posts! Binafsi nikimgongea mtu senksi ina maana nakubali quality na relevance ya mchango wake katika thread husika!!

Brooklyn umesomeka, hebu nigongee thanks basi!
by the way bado upo New York?
 
Hongera Rev Masanilo!!

Mi nafikiri top 10 thanked ina accommodate element ya quality of posts! Binafsi nikimgongea mtu senksi ina maana nakubali quality na relevance ya mchango wake katika thread husika!!

Okay okay...hata hiyo kumi bora ya "thanks" nimo.....

Angalizo: kuna wengine wanapeana thanks kwa kuwa ni washikaji tu....
 
Reverend..hebu chakachua hapo uniweke pliz maana mchango wangu mwenyewe naukubali.
Au kavp ongeza number 11 najua nipo hapo...!!!
 
MMK, NN, Rev, BAK ... na top ten woote!
Hongereeni saana.

Kama mlivyosema wenyewe hapo juu .... mnatisha !
 
Hongereni sana wazee kumaintain kazi na kuwa JF sio mchezo mm nilishachemsha siku nyiiiingi na ni nadra kuwafikia nyie.
 
Hongereni sana wakuu kwa kugonga nyundo mnastahili zawadi ya X.Mass na New Year.

Lakini kuna watu wanachukia sana
 
Hongera sana Rev Masanilo tuko sambamba kama samaki na maji
 
aisee Masa please fukunyua ya ban mkuu twaweza kuongeza kategori kwa NN

pia tuoengeze most quoted post
 
aisee Masa please fukunyua ya ban mkuu twaweza kuongeza kategori kwa NN

pia tuoengeze most quoted post

Nakwambia mimi niko juu kwenye anga zote....walahi tena nikijumlisha ID zote nilizonazo.....nafunika vibaya sana.
 
how far down the road can we trace these stats?
 
Nakwambia mimi niko juu kwenye anga zote....walahi tena nikijumlisha ID zote nilizonazo.....nafunika vibaya sana.
nadhani tuongeze pia ya most multiple IDs user member list aisee
 
Rev. Samahani sana, hivi, Malaria sugu atakuwa wapi kwenye statistics? Just out of coriosity
 
Hahahahaah Mzee kumbuka toka 2006 kuelekea 2007 lazima ni wazoefu hata Mh Mubyazi anajua!
nilikua mengwe enzi hizo nanunua mbuzi na kuleta mbwewe wakati huo nimeajiriwa na hamlashauri ya rombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…