Kwa sababu nina senksi nyingi sana ukiunganisha ID zangu zote 500
Nikosa kubwa kuziunganisha yule Painkiller akinifungia hii nakuja muda huo huo na ID nyingine !
Hahahaha Mwanakijiji ni mashine kubwa hiyo
Na yeye (Mwanakijiji) akichanganya IDS zake zote je? (joke)Hahahaha....Masa....hujanizidi ID aisee. Tokea 2006 hadi leo 2010 kila mwezi lazima nijiandikishe kwa ID mpya....sasa hebu kokotoa uone idadi ya ID nilizonazo. Ndo maana sijawahi kufungiwa....huwaga inafungwa ID moja tu lakini bado ninakuwepo kuwakilisha kama kawa....
Sasa nikichanganya ID zangu zote hata Mwanakijiji hatii mguu...iwe kwa "thanks" au hata idadi ya posts. Niko juu aisee.....lol
Naomba pia msiwasahau wale wanaoongoza kwa kupost utumbo kama vile dar es salaam, na wengineo tupate kuwajua na michango yao ya ******