JF Store:Enjoy This!

JF Store:Enjoy This!

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Grrrr jamani wapi JF Store,au ndo mkono mtupu haulambwi,tuambieni wenye jukwaa kunani?kama kuna mabadiliko ni vizuri tuambieni wakuru
 
Wamelifisha mkuu, nadhani humu ndani kwa sasa hali sio shwari hata kidogo.
 
Ah kweli naona humu ndani hali imekuwa tete si bure,wahusika wamekula jiwe hawasemi chochote,na mambo yalivyoenda kwa hii wiki mmh na tusubiri,lakini wahusika mbona wamekaa kimya?kwa mwendo huu napata shaka kubwa kulikoni
 
Store ni kwa 'memba' tu waliozama mfukoni kuichangia JF. Nani kasema kutoa si moyo?
 
But wait a minute, unaeza vipi kuwa na store ya vitu ambavyo si vyako? JF Admin mnakaribisha law suits kwa hizi materials za uwizi wajameni, acheni.
 
Back
Top Bottom