mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Mar 18, 2010 #1 Grrrr jamani wapi JF Store,au ndo mkono mtupu haulambwi,tuambieni wenye jukwaa kunani?kama kuna mabadiliko ni vizuri tuambieni wakuru
Grrrr jamani wapi JF Store,au ndo mkono mtupu haulambwi,tuambieni wenye jukwaa kunani?kama kuna mabadiliko ni vizuri tuambieni wakuru
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,407 Reaction score 161 Mar 18, 2010 #2 Wamelifisha mkuu, nadhani humu ndani kwa sasa hali sio shwari hata kidogo.
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Mar 18, 2010 Thread starter #3 Ah kweli naona humu ndani hali imekuwa tete si bure,wahusika wamekula jiwe hawasemi chochote,na mambo yalivyoenda kwa hii wiki mmh na tusubiri,lakini wahusika mbona wamekaa kimya?kwa mwendo huu napata shaka kubwa kulikoni
Ah kweli naona humu ndani hali imekuwa tete si bure,wahusika wamekula jiwe hawasemi chochote,na mambo yalivyoenda kwa hii wiki mmh na tusubiri,lakini wahusika mbona wamekaa kimya?kwa mwendo huu napata shaka kubwa kulikoni
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Mar 18, 2010 #4 Store ni kwa 'memba' tu waliozama mfukoni kuichangia JF. Nani kasema kutoa si moyo?
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Mar 18, 2010 #5 But wait a minute, unaeza vipi kuwa na store ya vitu ambavyo si vyako? JF Admin mnakaribisha law suits kwa hizi materials za uwizi wajameni, acheni.
But wait a minute, unaeza vipi kuwa na store ya vitu ambavyo si vyako? JF Admin mnakaribisha law suits kwa hizi materials za uwizi wajameni, acheni.