Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Kuna kipindi idadi ya posts zako iliongezeka maelfu kwa gafla mpaka nikadhania NN kabadilisha jina...Hongera
Hey, congrat! 30 000 in almost one year, that is great! so happy for you, keep it up!
Hahahah, nothing like that... thank you lakini... I like your's too. 😛oaI like your avatar........you look really a knockout puncher...........
hebu ichangie na JF mana sio unaishia jisifia tu post nyingi
Hahahah, nothing like that... thank you lakini... I like your's too. 😛oa
Hongera mkuu
Napenda the way you think... ila na financial mchango ni muhimu pia ... ni mtazamo wangu tu. chukulia JF kama public infrastructure, huwezi kusema wewe hauta changia kwenye maintenance yake sababu unatumia sana... ni kweli unaiongezea thamani kwa kuitumia ila unatakiwa kuchangia pia, kama unaweza. Au we waonaje?tatizo la mkatabafeki nionavyo ni upeo wako ni finyu..............................hivi unataka JF niwachangie nini zaidi ya muda na akili yangu......................unajua 30, 000 + zimenichukulia masaa manapi na wajua kwa saa limoja hulipwa shilingi ngapi?
Ungelijua mahesabu haya ungelijikalia kimya.....................................
Unaweza ukawa na post zaidi ya 30,000 lakini zote ni upupu tupu.
Una Post 30,000 but bado hujaona umuhimu wa kuichangia JF,
Umetoa mafanikio uliyoyapata but hujafanya jitihada zozote za kuifanya JF iendelee kuwepo.
Acha mkono wa birika. Changia JF ile iendelee kuwepo!
hebu ichangie na JF mana sio unaishia jisifia tu post nyingi
Una Post 30,000 but bado hujaona umuhimu wa kuichangia JF,
Umetoa mafanikio uliyoyapata but hujafanya jitihada zozote za kuifanya JF iendelee kuwepo.
Acha mkono wa birika. Changia JF ile iendelee kuwepo!
Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the moment...don't you think so?
"Then my mouth was filled with laughter and my tongue with singing. Then they said among themselves, His LORD has done great things for him..................Indeed our LORD has done great things for me and I am glad." Psalms 126: 2-3
hongera sana ili piga hii namba 0713444649..