Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
hongera mkuu naamini utakuwa unapost vitu vya kuelimisha na si kushukuru
why should I?
Nimeshangazwa na mafanikio yangu ndani ya JF.........sikujua leo nitakuwa ninasherehekea posts 30, 000+.............it is a dream come true.......................It feels nice being me, at the moment...don't you think so?
"Then my mouth was filled with laughter and my tongue with singing. Then they said among themselves, His LORD has done great things for him..................Indeed our LORD has done great things for me and I am glad." Psalms 126: 2-3
nadhani itakusaidia kutuma mchango wako mkuu kama uko abroad mPM Invisible ni hayo tu..
Unaweza ukawa na post zaidi ya 30,000 lakini zote ni upupu tupu.
Hongera baba. Lakini usije ukawa ndio wale wanaoandikaga napita tu.
sote si tunaandikaga tu.........................au wewe wadhani ukisema unapita tu hujaandikaga tu.............
Hivi angalia usije ukawa King of Kings wa kuongea bila ya kutafakari........................kama nilivyoongea awali "transfer News" ilianza mwaka huu mwezi wa mei 21 na ina posts 1, 005 hadi muda huu niandikao........haziwezi kutoa maelezo ya posts 30, 000+.......Hii itakuwa ni sababu ya Copy and Paste ya """TRANSFER NEWS""
Basi sasa wakuite JF Prof. Expert member.
Right to the point man.
Anyway, ukiacha yale ma transfer news yake ambayo hakuna aliyekuwa anayasoma, amejitahidi sana kuwa na posts nzuri za kizalendo.
Kudo.
Napendekeza huwe JF Premium member au??kunanini tena kwa mwenye post zote kama hizo??
mkuu kila la kheri bana!!tatizo la hoja hii ni kuwa kule posts hazifiki hata 1,000........................na hata zingelikuwa kama unavyodai bado ni kazi kuelimisha dunia..................na kule clicks zaidi ya 6, 000 zaonyesha wapenzi wa michezo wengi wanafaidika...............................ningelipenda ile thread iweke rekodi yake in the next two years................................many records stand to be broken here...........Am looking forward.........
unamjua The Finest.I reserve my comments on this one.............