Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mengine tutaacha...lakini pombe hatutoacha mpenzNgoja tumalize ujana babe tufunge ndoa.
Mengine tutaacha...lakini pombe hatutoacha mpenz
Bado nina duku duku moyon
Mmmh babe umenipanga sub?audacious usiponikubalia ombi langu leo sikufuati tena pm.
hazard cfc babe wewe wajua dokta akizingua tu unachukua namba.
Mmmh babe umenipanga sub?
Super sub
Nakupenda wewe dada culture gal
Nafurahi kusikia hivyo culture gal hapa moyo wangu umesuuzika kiasi chake japo sio chakutoshaAwww, shukrani kwa kunipenda, nakupenda piaaa.
Ina maana hakuna aliyenitaja mpaka sasa?
Ambae hajatajwa hadi sasa hivi anyooshe kidole nimwambie tatizo lake ni nini hadi hajatajwa
Unataka aina gani?mm sitak kbs aina hyo...aku
๐๐๐ hii ni changamsha genge... lol...Unataka aina gani?
๐๐changamsha genge?Ukweli ni upi sasa?๐๐๐ hii ni changamsha genge... lol...
Nimepekua kamusi sijafanikiwa.Hayo mapenzi utakayo shata shata,ni aina gani?๐unaona sasa... na wakt mwenzako nataka mapenลบi shata shata๐
ya kudeka deka...upo babaNimepekua kamusi sijafanikiwa.Hayo mapenzi utakayo shata shata,ni aina gani?๐