Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
Ha ha haaaa, hapo patamu.....unao wa3 halafu wote wanataka mtoke siku hiyo!!!!kwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo
Wazo zuri, ila itangazwe mapema ili hata waliombali wajipange kuja!!!Mh wanyumbani hii itakaa sawa kweli? maana siku hiyo wengine wanaiona spesho kiasi wanataka wakae na wapendwa wao tu, wengine wanaiona poa tu. kwa nini msitafute siku ingine mkapanga kitu kama hichi?
valentines day ni mtu yoyote mama yako, dada yako, bibi yako ni siku ya wapendanao sio siku ya wapenzi unaofikilia wewe peke yakekwel hlo linaumuhmu ila vp cc 2co kuwa na valentine wowote na wewe uliokuwa nao zaid ya m1 hauon kama ni UFISAD wa wapenz ila co ishu happy valentine pipooo
Hashy were u at bro??
Ana zaidi ya wanne?.....ngoja nksiwataje.....hehehehee.
Michelle karibu tufurahie valentine pamoja...au wasemaje bana.
Hashy were u at bro??
Mh wanyumbani hii itakaa sawa kweli? maana siku hiyo wengine wanaiona spesho kiasi wanataka wakae na wapendwa wao tu, wengine wanaiona poa tu. kwa nini msitafute siku ingine mkapanga kitu kama hichi?
Safi, sisi tusio na wapenzi hebu tufanye lojistikx. Tv na laptop hailipi siku ya valentineIdea nzuri kwa watakaoweza na wasio na wapenzi au walioko mbali na familia.....kukutana ku-have fun si kitu kinachoshindikana kuliko kudorora nyumbani wenzio wote wako dinner we na TV au na laptop......l.o.l
Orait, naona chipukizi kashatoka vitani basi tutajumuika kwa storee, maulabu, mamiuziki na makazalika baada ha kuwa hi.....if it happens blame the pot...God gave it to us for free.Biggie mi siwezi kataa mualiko kutoka kwako........nashukuru na nimeupokea na nitakuwa nawe.....mpenzi hatuelewani so si mbaya tukajumuika wote........:roll::roll:
Safi, sisi tusio na wapenzi hebu tufanye lojistikx. Tv na laptop hailipi siku ya valentine
Orait, naona chipukizi kashatoka vitani basi tutajumuika kwa storee, maulabu, mamiuziki na makazalika baada ha kuwa hi.....if it happens blame the pot...God gave it to us for free.