Mkuu Ibrah, sina haja ya kujua pahala ulipo, lakini nadhani tatizo unalopata liko localized. Kuna tatizo la internet kwa sasa Tz kutokana na mkonga wa SeaCom kupata hitilafu, lakini hii sidhani kama itakuwa imepelekea kuwepo tatizo unalolielezea. URL ya jf uliyozoea inaweza kuwa iko blocked kwenye computer yako au kwenye network, check na admin wako au kwenye internet filters zozote ulizonazo hapo kwenye computer locally. Kama siyo filter, basi jaribu ku-search google for "clearing dns cache", sometimes name resolutions huwa zinakuwa corrupted hivyo huhitaji kuwa flushed.
Steve Dii