JF Voucher Game

Mshindi ni Nani au hiyo vocha haijapata mshindi
 
Duh kidogo nifungiwe laini nimebahatisha mara nne, ya tano naweka namba moja vocha ishatumika aiseee nasuburia bonus mie labda ntashinda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Washindi wanakimbia kwa kasi ya 4G hawataki kujulikana Nafikiri ni wale wanaojiweka kwenye stutus ya juu sasa akija jionyesha anaona atashusha Cv
 
Kabisa wale wanaokuja kubeza watu hapa kumbe kimya kimya wanakula vocha za bure
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Washindi wanakimbia kwa kasi ya 4G hawataki kujulikana Nafikiri ni wale wanaojiweka kwenye stutus ya juu sasa akija jionyesha anaona atashusha Cv
 
Mkuu hizo dharau, kushiriki hii game haina maana uko jobless au hauna hela ya vocha. Hilo sio lengo la game, hii ni sehemu ya burudani pia.
Mchezo unachezwa saa 6 mchana? Saa sita ni muda wa kuingia mitandaoni kutafuta vocha za bure? Alafu mnalalamikia efficiency ya serikali yenu, kwahiyo wewe unaweza kuacha kutoa huduma/kufanya kazi ya kuzalisha mali alafu ukaingia mtandaoni kuvizia vocha ya bure?

BTW kuweni makini, system works here, kuna watu wanawindwa humu JF.. Jiwekeeni hizo vocha za bure tu mkikamatwa siku ndio mtajua..
 
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
Bonus saa moja na nusu,19:30
Tigo na Voda
Stay tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…