Namba 1Imeishia na ngapi mkuuu
Pamoja mkuuOngera sana mkuu
hivi kukosea kuweka vocha mwisho mara ngapi vile???[emoji23] Naona hapa watu watablock line zao.
nauliza yote tu??Mtandao gani
[emoji196]wa kwako hana mkiaNjoo uchukue nyoka huku
Ova tatu mzuka ova muraaaJF betting hyo
Ova
Nyoka mwenye mkiaUnataka nyoka au mkia?
Je hao jf betting wamesajiliwa na baraza la bahati nasibu la TaifaOva tatu mzuka ova muraaa
Tupo kwenye processJe hao jf betting wamesajiliwa na baraza la bahati nasibu la Taifa
Ova
Mbona ua Sipend KubishanaMbn unajihami kipi cha dezoo mm napenda zaid ya pesaa na nyoka Umesema Huna basi Ww ni ke mwenzangu
Wewe ndo umeleta shobo zako kwangu lazima na mm nikupe kafie mbele hukoMbona ua Sipend Kubishana
na vinuka Mkojo Leo Imekuaje?
Mama ako alokuzaa piah ni ke Ananuka mkojo Kama mm so hilo sio tusi kwangu bali umemtukana mama ako mzazi nyauuuuuu weweMbona ua Sipend Kubishana
na vinuka Mkojo Leo Imekuaje?
[emoji23] [emoji1]Sawa mkuu kuanzia jumanne game litakuwa saa 12 kamili jioni ili kuwapa nafasi wale waliopo kazini kesho itatolea update baada ya game la mchana.
Update
BONUS
Leo tarehe 7/1/2018
Voucher TIGO
Namba:77178601090277__!
Mshindi: Mkweli77
Karibuni kwenye game.
Update
Leo tarehe 8/1/2018
Voucher VODA
Namba:56114051624190__!
Mshindi:___________!
Karibuni sana kwenye Game.
Note: kuanzia kesho Game litakuwa linachezwa saa kumi na mbili (18:00) kamili jioni hiyo ni kwa sababu likizo litakuwa limeisha na watu wengi watakuwa makazini muda wa mchana.
Leo nimechelewaMkuu nikushauri game tuifanye saa 2 au 3 usiku ili wale tunaokuwa na pilika pilika za usafiri tupate fursa pia.
Halafu naomba vocha za Jumanne -
Jumapili nizidhamini.