[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio maana ya game pole sana mkuu.
ilikuwa ni Namba 1
Mkuu hili ni game endelevu na litafanyika on time mpaka mwaka uishe kukiwa na changamoto mbeleni kutakuwa na marekebisho kiasi ili kuwe na ushindaniNimesifu kitu kimoja, you tried to be in time.
Delay was just like not more than 5 minutes which is acceptable.
Mkuu unafanya kazi kiwanda cha vocha!!
ongeza basi hiyo vocha itoshe japo kifurushi cha mweziSubscribe uzi kila update ikitumwa huwe wa kwanza kucheza game na utajishindia tu.
Karibu kwenye game.