10 minutes left
Kidogo tu nichukue mm[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ongera sana mkuu.
Mm nilianza na 0,2,7 kurud 6 ndo ukachukua wwThe game is real, jana niliikosa kosa kwa kuanza na 2 kumbe jibu ni 1.
Leo nimeanza na 2, then 4, then 6.
Nimetumia formula ya namba shufwa kitu kikaitika kwenye 6.
Mi sijazoea kulipiwa mkuu,We cheza Game mkuu ujishindie usiulize swali.