Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
goodAulizaye ataka kujua,
Hivi kuna wanaJF waliosoma Ihungo? Mie nilisoma mwanzono mwa miaka ya 1980. Nakumbuka yafuatayo:
1. Ile njia ya Japan inayotokea Kashai?
2. Ule Mti wa Balaa kama unaenda Kashozi?
3. Yale madishi ya ugali na maharage na mikiki unapokuwa server? Vipi kupiga kiatu?
4. Mabweni yetu: Uluguru, Knjaro, Ergon, Meru na Rwenzori?
5. ST Thomas More College
6.
7.
Mastery for Service ndo ilikuwa Motto.
H/Master miaka fulani anaitwa Bakuza (Bakula?), akija Monday parade anasema "Today you are very smart and you look very beautiful"