JF wamo wanaopenda ?????????????????????

JF wamo wanaopenda ?????????????????????

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Etii 😛eep: wamo:caked:wanao nanihino ?? Au kunanihiliana ?? Yaani mnakutana kwa ufupi mmeanziaa hapa JF na kuendeleza huko nje kikamilifu ? kupependana mapenzi yaani natumai mmenielewa .
 
Sijasikia lakini hilo ni rukhsa ili mradi hakuna shuruti....................
 
Jamani semeni au watajeni ili tuwape hongera ,siri zinaruhusiwa kwa mbaali ,halafu kwenye mapenzi hakuna aibu,pengine umemdondokea mtu ,we sema tu ndio mwanzo huo wa kuanzia hapa JF ,huwezi juwa :hippie:
 
Ni Rahisi kuandika hisia kuliko kuongea kwa mdomo.....so PM must be honoured like Paul the Octopus
 
Haswa my shem shem...vp cupcake(my sis) hajambo? Mpe hi sn naona majukumu yamembana.

Peeeeeennnnny my shem.....siyo vizuri bana namna hiyo....yaaani unaadimika kuliko hata almasi.....usipotee kihivyo bana. Na Cuppy yupo tena alikuwa anakusalimia.....
 
lazima watakuwepo mana watu walishaonana live unatarajia nn
 
Back
Top Bottom