Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
imepita masiku na miezi sijamsikia huyu ndugu, je yupo wapi maana amehadimika sana siku hizi...!
Umekumbuka ubishi wenu wa kidinis
Ni kweli Bujibuji amemi-ss yale mabishano yao.
Kumbe ameshatoka lupango... Yupo anazimwaga tu.Umekumbuka ubishi wenu wa kidinis
Kumbe ameshatoka lupango... Yupo anazimwaga tu.
Me ninamapenzi ya dhati na malaria sugu sijui umesha.....wanipa raha nyuma ya pc huku
Kakutuma!?Lupango ya wapi? Tupatie ushahidi badala ya kumtakia mtu mabaya bila sababu yoyote!
Max Shimba yumo humu humu, hajaenda popote, fungueni macho mtamuona!
Wewe angalia yasikukute yaliyo wakuta wafuasi wa CCM, kufananisha watu na utatu mtakatifu... Oooh! Shauri yako.Abdulhalim, Buchanan, MaxShimba hawa jamaa huwa wananifurahisha sana maana wana utatu mtakatifu. Ukimkosa mmoja wao we waulize wenzake watakwambia mwenzao yupo wapi?
Hatimaye nimepata picha, jina halisi la MS, mtacheka na kuvunjika mbavu, ni tofauti kabisa na nilivyotarajia kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Nimemwandikia msimamzi wa JF anipe ruhusa niibandike hapa nasubiri hicho tu....
si useme tu akuoe...!
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces: