I am disqualified already. Damn!!!
Lakini pouwa....lazima kuna mtu atanipendekeza kwa ile au zile ID zangu tofauti....
Mimi naanza kwa kumpendekeza JS
6. Asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua matatu
Mkuu JS ni nani? Unaweza kutuelezea ni nani na mabandiko yake ni yapi? Jamaa wasije wakaleta tuhuma kuwa tunachakachua.
Hapo Nyamayao out.....lol
Aspirin out
Teamo out
Maria Roza out
Roya Roy out
JS ni Shugacake. Binti mmoja wa Kichaga aliye maridadi na makini sana. Mada anazoanzishaga hufanya watu wakune sana vichwa kutokana na zilivyo makini.
Mkuu mbona unawachakachua mapema hivi bila hata kutoa sababu? Ina ruhusiwa kupendekeza sio ku-disqulaify bana NN.
Wakulu hapo juu, mko vizuri tu. karibuni. Hii ni sehemu na manjonjo ya kampeni na mchakato.
Sawa Mkuu, pendekezo hilo limekubalika. Kama unaweza kutupatia data zake za mabandiko au threads zake utakuwa umetusaidia sana.
Kwa vigezo vyako hao wakulu tayari wako disqualified. Kwa mfano, sijawahi kumwona St. RR kwenye jukwaa jingine zaidi ya MMU. Vivyo hivyo kwa babu Aspirin na hao watajwa wengine.
Mambo ya JS hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2743358
Mkuu NN, link uliyotoa inaleta majibu haya:
JamiiForums Message
Sorry - no matches. Please try some different terms
Unatumia browser gani? Mimi natumia Mozilla Firefox na nikibofya napelekwa moja kwa moja kwenye orodha ya mada alizoanzisha Bi. JS.....
Ok, ngoja nitumie browser nyingine.
Pia nawapendekeza Kiranga na Regia Mtema
Napendekeza
Acid
Pia nawapendekeza Kiranga na Regia Mtema
Napendekeza
Acid