Mambo ya JS hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2743358
Nampendekeza Gaijin katika category ya WOMAN. Nahisi ni mwanamke kwa kuwa anasimamia sana mambo ya gender. Pia michango yake mingi ni ya kiudadisi na ya kujenga. Avatar yake inaonyesha ana allergy ya kusoma kwani kazungukwa na vitabu.
Hapo Nyamayao out.....lol
Aspirin out
Teamo out
Maria Roza out
Roya Roy out
Why do I have a sneaky suspicion that Sanctus Mtsimbe and Superman are one and the same? :teeth:
Tehe tehe teheeee mkuu mwongeze na KATAVI hapo! offcourse MS nae out
Sasa tutajuaje kama ni SHE au HE? Huu mchakato una walakini,labda Invizibo aongeze sehemu ya kujitambulisha kwanza....
Sasa tutajuaje kama ni SHE au HE? Huu mchakato una walakini,labda Invizibo aongeze sehemu ya kujitambulisha kwanza....
Kheee!! Weee Zion Daughter hulali?
mie bado nampendekeza WOMAN OF SUBSTANCE nadhani anaruhusiwa kuongoza kwa miongo miwili au zaidi!
kwa wababa nampendekeza MZEE MWANAKIJIJI(uporoto01 wangu niwie radhi niko kikazi zaidi)
ZD, tafadhali rejea kigezo cha 1 na cha 2 vinginevyo zoezi litakuwa gumu sana.
Watakaoingia katika fainali, tutawataka wao wenyewe wa-confirm jinsia zao.
Teh teh!watoto ndio wanawahi kulala,sie wakubwa tupotupo kwanza.....
Mie nakupendekeza wewe NN ila sijui nikuweke category ipi sababu sina uhakika...
Ok.Poa..Lakn wakitudanganya,tutahakikisha vipi? vinginevyo itakuwa sio fair.Mie ninaona kuna uwezekano mkubwa watu wanajitambulisha kwa jinsia tofauti hapa...
Anyway,nishampendekeza NN.