Elections 2010 JF's Maxence LIVE on EATV "Uchaguzi Express Live"

Musa anasema kuwa kuna urahisi wa kupata habari kutoka ccm kuliko vyama vingine!
 
Max anavilaumu baadhi ya vyama kutojiandaa vizuri hasa katka kutoa habari!

Isaac anaulizwa kuhusu kupatikana kwa habari kama kuna upendeleo, anavipongeza vyombo vya habari kuwa vimefanya kazi kubwa katka kutoa habari zaidi ya uchaguzi ulopita!
 
Isaac anaulizwa kuhusu kupatikana kwa habari kama kuna upendeleo, anavipongeza vyombo vya habari kuwa vimefanya kazi kubwa katka kutoa habari zaidi ya uchaguzi ulopita!

Anaongelea vyama vikubwa kama ccm kuwa vyombo vyaweza kuvipa nafasi kubwa, anapotaja Chadema Musa anacheka!
 
kwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!
kwa umbumbumbu wako umeshindwa kutambua kwamba JF is a home of great thinkers and not chadema chapter...
 
Anaongelea vyama vikubwa kama ccm kuwa vyombo vyaweza kuvipa nafasi kubwa, anapotaja Chadema Musa anacheka!

kwa Max, anaongelea kuhusu vyama vya upinzani hasa chadema kuwa anatuma picha na habari lakini utashangaa anaoneshwa yeye tu na ukienda ccm wataoneshwa watu wengi sana!
 
Bro, nadhani unweza kuwa very wrong

Data wanazo mods adn admins but i can bet my shoes kwamba wanaJF walio tanzania ni wengi zaidi and it could be up to 70%

I hope we will get clarification on this
 
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!

Kwa david, anaongelea kuhusu uzinduzi wa ccm na uzinduzi wa chadema kuwa watu kwa chadema walikuwa wachache, anawalaumu jamaa wa chadema kuwa chadema hawakuwajali!
 
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!

Wito kwa vijana toka kwa David ni kujitokeza kwa wingi wasikilize sera na wakapige muda ukifika.
gamba bado anatetea vyombo vya habari kuwa vimekuwa objective!
 
Nilifwatilia mjadala mzima kuanzia mwanzo hadi mwisho, sisi watz tuna tatizo kubwa la kujieleza sio siri hata kwa kiswahili tunachokipigia debe. Kwa wote waliokuwepo pale Maxence pekee ndio aliweza kuzungumza na kwa data kamili.

Yule kijana kutoka IFM nahisi anakuwaga wa mwisho darasani hajui kujieleza kabisa. Kubwa Kuliko zote ni mwandishi wa habari au mtangazaji mwenye sauti mbaya kuliko wote nchini wa ITV ambaye hakujua hata yuko pale kwenye TV kwa sababu gani alisema kwa mfano ahadi az mgombea Chadema za kutoa elimu ya bure haitekelezeki na hajaeleza ataitekeleza vp.....mara akasema wakijitahidi wanaweza kutekeleza na itakuwa vizuri wakiweza???
 
Jamani Hii ni Kutoka EA Radio!

Musa anaahidi kuendeleaa habari hizi. Anaongelea kuhusu hawa wagombea waloshajiunga kwenye kugombea halafu baadaye wanajitoa hasa hawa wa vyama vya upinzani kwamba kuna jambo.
 
Bro, nadhani unweza kuwa very wrong

Data wanazo mods adn admins but i can bet my shoes kwamba wanaJF walio tanzania ni wengi zaidi and it could be up to 70%

I hope we will get clarification on this

Asilimia 67.2 ya watembeleaji wa JF ni kutoka Tanzania

Hapo ni data za Max huyo Batalanda anataka kupotosha watu
 
Nimemsikiliza huyo mtangazaji wa ITV aitwaye Gamba. Nadhani ana tatizo la upeo. Huyu, kama walivyo watangazaji wengi hapa nchini, wana upeo mdogo sana. Unahoji vipi suala la ahadi ya elimu bure wakati Chadema wamelifafanua hilo vizuri sana. Inaelekea huyu ana matatizo 'upstairs".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…