KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Feb 26, 2011 Thread starter #21 Rev Fr Masanilo said: Baby thread haina mashiko njoo Facebook! Click to expand... Mkuu wa kiganbo hata huko mhusika??sura kitabu??
Rev Fr Masanilo said: Baby thread haina mashiko njoo Facebook! Click to expand... Mkuu wa kiganbo hata huko mhusika??sura kitabu??
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Feb 26, 2011 #22 Mi naiacha on siku nzima hata mtu mwingine akiingia anaiona kwani dhambi? Mh itabidi niwe nalog out maana
Mi naiacha on siku nzima hata mtu mwingine akiingia anaiona kwani dhambi? Mh itabidi niwe nalog out maana
muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 152 Feb 26, 2011 #23 Lizzy said: Ndio baba!Vipi wewe? Click to expand... Job tu zimekuwa mob, lakini poa
muhosni JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,108 Reaction score 152 Feb 26, 2011 #24 Gaga said: Mi naiacha on siku nzima hata mtu mwingine akiingia anaiona kwani dhambi? Mh itabidi niwe nalog out maana Click to expand... Gaga ni aje?
Gaga said: Mi naiacha on siku nzima hata mtu mwingine akiingia anaiona kwani dhambi? Mh itabidi niwe nalog out maana Click to expand... Gaga ni aje?
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Feb 27, 2011 #25 Mhh makubwa! labda ni shoga ndo maana kafanya hivyo
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Feb 27, 2011 Thread starter #26 Maria Roza said: Mhh makubwa! labda ni shoga ndo maana kafanya hivyo Click to expand... Ya wezekana ngoja nitadodosa!!
Maria Roza said: Mhh makubwa! labda ni shoga ndo maana kafanya hivyo Click to expand... Ya wezekana ngoja nitadodosa!!