INAUZWA Jiajiri biashara ya ice cream na ice lolly (lamba lamba)

Meshaki Richard

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2021
Posts
320
Reaction score
174
Ongeza kipato chako kwa kununua mashine za kutengeneza ice cream au barafu za kwenye koni na ice lolly wengi wanaziita lamba lamba.

Ni biashara nzuri sana kwenye mashule,vyuo pia hata mtaani tunakukaribisha mashine za strong tech ni imara na bora pia sifa ya ziada hizi mashine ni ngumu na ulaji wa umeme ni kidogo sana
Tupo kariakoo mtaa wa masasi na msimbazi.

0774150519 whatsapp
0688147644 calls/sms


Mashine za ice cream au barafu za koni hii unaipata kwa million mbili na laki tano tu (2500000) na
Mashine za ice lolly zipo aina kuu mbili
Kutokana na uzalishaji wake
Ipo ya tray moja hii inazalisha piece 40 kwa dakika 20

Na pia yenye kuzalisha piece 80 ikiwa na tray mbili hii million tatu na laki saba (3700000) tu

UNAPEWA WARRANT YA MWAKA MMOJA KARIBUNI SANA 0688147644

 
Miji yenye joto hizi mashine zinafaa sana karibu sana uchukue yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…