Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
biashara inahusu nini??Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
Ndugu mpendwa, mimi natoa mawazo ya biashara kwasasa bure kabisa kulingana na uhitaji wa mtu kutokana na uwezo wa mtaji wa kifikra na kifedha alio nao.biashara inahusu nini??
Je ni network marketing?
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Ndugu mpendwa, jitahidi kusoma na kuelewa andiko lililopo kwenye kichwa cha mada na mada husika. Utaelewa na utakuwa umejifunza zaidi.Yale yale ya akina forever.....
Kuna mtu anauza mashine mbili za Popcorn, moja ya umeme na ya gasBiashara ya kuandaa Na kusambaza popcorn.
Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
Uza karanga na maji au kahawaMi na kiasi cha sh 5000...unaweza nishauri kufanya biashara gani
Pia uji unalipa mkuuMi na kiasi cha sh 5000...unaweza nishauri kufanya biashara gani
hata mm nahs hyu ni walewalenetwork marketing wanambinu za kukamata wateja hatari.
Watu wote wenye nia njema hueleza kila kitu ili iwe faida ya wote.
wengi hutapeliwa wanapoitana pembeni
Nipe mchanganuo namna ya kuanzisha biashara ya uji nagharama zakePia uji unalipa mkuu
Naona haina gharama sana Kuna dada mmoja namuonaga anauza huwa anasambaza maofisini anapiga hela hadi namuonea wivu.Nipe mchanganuo namna ya kuanzisha biashara ya uji nagharama zake
Muulize mtaji unaotakiwa alafu unipe mrejeshoNaona haina gharama sana Kuna dada mmoja namuonaga anauza huwa anasambaza maofisini anapiga hela hadi namuonea wivu.