Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Kwa harakaharaka unaweza kukadiria mana naona hapa ana kama chupa kubwa nne na vikombe kama 30 kuna vya udongo na vya plastic na ndoo moja ya kubebea vikombe na nyingine ya kubebea vitafunwa mbalimbali kama mihogo, viazi, chapati n.k. Labda kinachobaki ni viungo vya huo uji.Muulize mtaji unaotakiwa alafu unipe mrejesho
Sasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000Kwa harakaharaka unaweza kukadiria mana naona hapa ana kama chupa kubwa nne na vikombe kama 30 kuna vya udongo na vya plastic na ndoo moja ya kubebea vikombe na nyingine ya kubebea vitafunwa mbalimbali kama mihogo, viazi, chapati n.k. Labda kinachobaki ni viungo vya huo uji.
Haha dah mkuu jamaa hayuko serious kweli, sasa kama mtaji 2000 faida itakuwa shingapi? Labda aje atupe hio biasharaSasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000
Tumsubiri mkuu anaweza kuja akatupa hizo ideasHaha dah mkuu jamaa hayuko serious kweli, sasa kama mtaji 2000 faida itakuwa shingapi? Labda aje atupe hio biashara
Ha ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uza karanga na maji au kahawa
Ubuyu wa mia mia kwa elfu 2.Haha dah mkuu jamaa hayuko serious kweli, sasa kama mtaji 2000 faida itakuwa shingapi? Labda aje atupe hio biashara
What do you know about crypto currency?? Je inaweza kuwa suluhisho la ajiria?Habari za muda huu wapendwa.
Napenda kuwakaribisha wale wote wenye uhitaji wa kujua namna ya kujiajili na kuongeza kipato cha ziada. Nimeguswa na swala zima la ajira na kujiajili kwa watu wa rika zote. Kwanza kabisa mimi ni mbunifu wa mawazo ya kibiashara madogo madogo, mawazo ya biashara za kati na mawazo ya kibiashara makubwa inategemea na uhitaji wa mtu.
Kama utapenda kuuliza chochote kuhusu wazo la biashara nipo hapa kukusaidia, wazo linaanza na kiasi chochote cha pesa ulichonacho kwa mfano; Tsh.2,000/= mpaka Tsh.2,000,000,000/=.
Karibuni sana!
Habari, unajua biashara nzuri ina anza na wewe unauwezo gani na unataka nini?What do you know about crypto currency?? Je inaweza kuwa suluhisho la ajiria?
Kwa mtaji ulio nao, itategemea mahali ulipo na kuna uwezekano wa wewe kufaniki.Sasa mkuu mi nilikuwa nataka Jamaa hapo snipe mawazo ya kufanya biashara ya 5000 mana amedai anaweza to a ideas kwa mtu kufanya biashara kuanzia shilingi 2000
Habari ndugu, karibu kwa huduma.
mkuu ebu nipe mchanganuo wa biashara ya nyungo kwa huo mtajiKwa mtaji ulio nao, itategemea mahali ulipo na kuna uwezekano wa wewe kufaniki.
Kwa mfano, waweza anzisha biashara ya kusupply ungo au bidhaa yoyote ambayo utaiuza kwa gharama ndogo.
siri kubwa ya biashara unapaswa kutengeneza uhitaji wa bidhaa na si vinginevyo.
Inategemea na mahali ulipo ndugu, embu niambie upo mkoa gani labda naweza kukusaidia zaidi.mkuu ebu nipe mchanganuo wa biashara ya nyungo kwa huo mtaji
Always successful story can not invite you to be there as story said, but what you want is a tool for you to achieve the boom.Hebu ushuuda wa mafakio yako ili kama success story kwetu uweze kutu inspire kwa namna moja ama nyingine
[emoji23] [emoji23] jamaa anazingua eti mtaji wa buku mbiliHa ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SONY Xperia Z5 Premium
Mbona mimi ni muwazi na sio muumini wa hao ndugu unao wasema maana wao huwaalika watu kwa kuwatamanisha bali mimi natoa wazo wewe upambane mwenyewe.network marketing wanambinu za kukamata wateja hatari.
Watu wote wenye nia njema hueleza kila kitu ili iwe faida ya wote.
wengi hutapeliwa wanapoitana pembeni