Mtyela Kasanda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 554
- 818
Ni kwasababu watu wengi wanaamini dini.
Dini zote zinasema kuna uchawi.
Asilimia 84 ya watu duniani wanaamini katika dini tofauti tofauti, by law of association (not to be confused with the psychology one) asilimia 84 ya watu duniani kote wanaamini uchawi.