Asilimia 84 ya watu duniani wanaamini katika dini tofauti tofauti, by law of association (not to be confused with the psychology one) asilimia 84 ya watu duniani kote wanaamini uchawi.
Kwahiyo una maana sababu dini inatu aminisha katika visivyo onekana,hatuna budi pia kuamini visivyo onekana upande wa pili.Nina maana huku Kuna malaika,huku Kuna mashetani/majini hivi vyote havionekani na vinapingana kwa mujibu wa imani